Friday, 2 September 2016

WAHESHIMIWA MADIWANI NA WAKUU WA IDARA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI WAPATIWA MAFUNZO YA UTAWALA BORA NA MFUMO WA USIMAMIZI WA MATUMIZI YA FEDHA

Habari na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti.

Waheshimiwa Madiwani wanaounda kamati ya fedha wilayani Serengeti pamoja na wakuu wa idara za Halmashauri wamepatiwa mafunzo ya utawala bora na usimamizi wa mfumo wa fedha toka kwa wawezeshaji toka Sekretarieti ya Mkoa wa MARA. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika tarehe 2 Septemba 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti.

MATUKIO KATIKA PICHA











No comments:

Post a Comment