Friday, 2 September 2016

HABARI PICHA: HATUA ZA AWALI UWEKAJI WA LAMI KWENYE BARABARA YA KM. 3 MUGUMU MJINI.

Habari na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti.

Mkandarasi SAMOTA Construction Ltd amedhamiria kukamilisha ujenzi wa barabara ya km.3 katika Mji wa Mugumu wilayani Serengeti. Barabara hii imekuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wakazi wa mjii wa Mugumu, kukamilika kwa barabara hii kutabadilisha taswira ya mji na kuupendezesha zaidi.
Barabara ikiwa imefungwa kupisha uwekaji wa lami







2 comments:

  1. ni kaz nzur...lakin sis wakaz wa mugumu tatzo letu kubwa ni barabara ya mugumu to bunda..ndo inatupa shida sana sidhan kama hyo barabara ya 3km itatusaidia sana sis watu wa kawaida......but ni sawa tu one step at time..plz wahusika wanasemaje kuhusu barabara ya bunda mugumu!!??

    ReplyDelete
  2. ni kaz nzur...lakin sis wakaz wa mugumu tatzo letu kubwa ni barabara ya mugumu to bunda..ndo inatupa shida sana sidhan kama hyo barabara ya 3km itatusaidia sana sis watu wa kawaida......but ni sawa tu one step at time..plz wahusika wanasemaje kuhusu barabara ya bunda mugumu!!??

    ReplyDelete