Waheshimiwa Madiwani, Wadau wa Maendeleo pamoja na Wataalamu kutoka taasisi za Serikali Wilayani Serengeti waupitia mpango mkakati wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
utakaomudu kwa miaka mitano kuanzia mwaka wa bajeti 2016/17 mpaka 2020/21. “Bila
mpango mkakati huu hakuna maendeleo” amesema Mkuu wa Wilaya ya Serengeti
Mheshimiwa Nurdin Babu alipokuwa akifungua kikao hicho kilichofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa Halmashauri tarehe 22 Novemba 2016.
No comments:
Post a Comment