Thursday 23 March 2017

Tovuti rasmi ya Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kupitia Kitengo cha TEHAMA & UHUSIANO inapenda kuutarifu umma kuwa kwa sasa habari zote na matukio ya picha na video zitapatikana kupitia tovuti rasmi ya taasisi (www.serengetidc.go.tz)

Katika tovuti hii, umma unaweza pia kupakua nyaraka mbali mbali  ili kurahisisha utendaji wa kazi kwa muda mfupi zaidi.


Imetolewa na

Englibert Kayombo
Afisa Habari & Uhusiano
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
23 Machi 2017


1 comment:

  1. Habari za asubuh ndugu zangu nawapenda wote kwa pamoja
    nawatakieni uchaguzu mwema wa WMA pia mawasihi kuwa na uzalendo hekima na busara wakati wa uchaguzi huu mchagueni yule maeona atatetea masirah ya nchi na jamii kiujumla ukabila undugu hauna nafasi kwa hilo pendeni maendeleo mchagueni mzalendo

    ReplyDelete